Gombo kaya

Karibu kwenye nyumba ya Wanyakyusa!

Hapa utaweza kupata vitabu, vitu vya  kusikiliza na vya kutazama vyote kwa lugha ya Kinyakyusa! Kuna vitabu kwa watu wote, maandishi yaliyorekodiwa na video za kufurahisha! Kama una mawazo yeyote au maoni wasiliana nasi.

Asante sana!

Nyakyusa Bible App QR Code
Nyakyusa Bible App QR Code

Karibu kusoma Biblia kwa kinyakyusa kwenye simu lako!

Nyakyusa Song Book App QR code
Nyakyusa Song Book App QR code

Karibu kuimba nyimbo za kinyakyusa!

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.